Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts

Tuesday, December 25, 2012

Wanawake marufuku kuvaa nguo fupi




Wanawake wa Swaziland
Wanawake nchini Swaziland wako katika hatari ya kukamatwa na polisi iwapo watavaa sketi fupi au blauzi ambazo zitaonyesha tumbo likiwa wazi.
Msemaji wa polisi Wendy Hleta amesema polisi watatekeleza sheria ya mwaka1889 ambayo inapiga marufuku uvaaji wa nguo zinazokosa maadili.
Msemaji huyo wa polisi pia amesema wanawake wanaovaa nguo fupi ni kivutio cha wabakaji.
Hata hivyo, sheria hiyo ya kikoloni haitumiki katika uvaaji wa nguo za kijadi ambazo zinavaliwa na wanawake, sehemu kubwa ya miili yao inaachwa wazi.
Mavazi hayo huvaliwa wakati wa sherehe, zikiwemo za mwaka zinazompa Mfalme fursa ya kuchagua mke wake mpya.
Mwaka 2000, serikali ilitunga sheria inayowataka wanafunzi wa kike kuanzia miaka 10 na zaidi kuvaa sketi zinazovuka magoti kama njia ya kuwalinda dhidi ya maambukizi ya Ukimwi.
Mfalme Mswati III wa Swaziland

Swaziland ina idadi ya watu milioni1.2 na moja kati ya nchi zenye kiwango kikubwa cha maambukizi ya ukimwi duniani.


Bi Hleta amesema sheria hiyo ya mwaka1889 haijaweza kutekelezwa katika miaka ya karibuni.

Amesema polisi wanataka kuwajulisha wanawake kuwa sheria hiyo bado ipo na inafanya kazi.
Baadhi ya wanaume katika mji wa Manzini wamesemekana kuwalalamikia wanawake wanaovaa kuvaa nguo fupi.
source:BBC

Friday, December 14, 2012

Wafufua maiti na kuitembeza mitaani

NewsImages/6711370.jpg Mmoja ya maiti ikipambwa kabla ya kufanyiwa sherehe
Wakazi wa Jimbo la Twaraj Indonesia, wamejiweka utamaduni wa kuwafufua maiti(wafu) na kuwapamba kwa kuwavisha mavazi mapya, kuwachana nywele na kuwatembeza mitaani kabla ya kuwazika tena
Dunia imejaa vituko na matukio ya ajabu, hilo limedhihirika hivi karibuni huko nchini Indonesia, katika jimbo la Twaraj, wakazi wa eneo hilo wanatamaduni ya ajabu na ngeni duniani, wakazi hao wanawafufuwa maiti kaburini na kuwavalisha nguo mapya za thamani, kuwachana nywele na kuwapamba kamalive walivyokua hai.

Wakazi hao wanakusanyika na kumfanyia sherehe kubwa maiti kabla ya kuanza msafara wa kumtebeza katika mitaa na kumrejesha kaburini alipokuwa amezikwa, wakazi hao wanamini kwamba watu waliyokufa wanahaki ya kuendelea kuishi na kujumuika nao.

katika kufanikisha zoezi hilo la kihistoria ambalo wanaimani kwa lazima kufanya ili kuonesha hishima kwa maiti na kulinda mapenzi ya kweli kwa mtu aliyekufa, kabla ya kumzika maiti anavishwa kitambaa maalum ili kuzuia mwili wa marehemu kuoza.

Sunday, December 9, 2012

Jeshi la Sudan Kusini lauwa watu 10


Umoja wa Mataifa unasema kuwa jeshi la Sudan Kusini limewapiga risasi na kuwauwa watu 10, ambao walikuwa wakiandamana kupinga kuhamishwa kwa makao makuu ya serikali za mitaa magharibi mwa nchi.Wanajeshi wa Sudan Kusini
Afisa wa kuweka amani wa Umoja wa Mataifa huko Bahr el-Ghazal amesema watu wane waliuwawa katika mji wa Wau kwenye mapambano ya jana usiku.
Na wengine sita waliuwawa baada ya kukusanyika kulalamika juu ya mauaji ya awali.
Jeshi la Sudan Kusini limekataa kusema kitu.


Wataka Bangi kuhalalishwa Marekani

Mwezi huu, Majimbo mawili nchini marekani yamepiga kura kuhalalisha , kudhibiti na kutoza kodi bangi.
 

Pakiti za Bangi kama inavyouzwa katika masoko mengine
Mwezi uliopita, Majimbo mawili nchini marekani yalipiga kura kuhalalisha , kudhibiti na kutoza kodi bangi.
Kutokana na matangazo ya kibiashara na sheria za kudhibiti ulevi wa bangi wakati madereva wakiwa njiani , basi tunahoji nini cha mno kinachosubiriwa?
Kura iliyopigwa tarehe sita mwezi Novemba katika majimbo ya Colorado na Washington, bila shaka iliwatia furaha watumiaji wa Bangi lakini polisi wengi walilala wakiwa na wasiwasi si haba.
Na hatua hiyo ikaleta karibu malumbano kati ya majimbo hayo mawili na serikali ya kitaifa, kwani bangi ingali imeharamishwa chini ya sheria za kitaifa. Lakini kama ilivyo ada, kila jimbo nchini Marekani liko huru kutunga sheria zake.
Marijuana kama inavyojulikana na wengi, ni dawa ya kulevya inayotumiwa sana nchini Marekani. Lakini sasa wataalamu wanasema huu ni mwanzo tu wa kuhalalisha dawa hiyo ya kulevya ambayo bado imepigwa marufuku.
“Hiki ni kionjo tu, bado mengi yatakuja’’ alisema Sanho Tree mkuregenzi mkuu wa mradi kuhusu sera ya mihadarati.
"Ikiwa majimbo haya mawili yataendelea na harakati zao za kuhalalisha dawa hiyo ya kulevya, bila mawingu kuanguka, basi utakuwa mwanzo mpya kwa uhuru wa kisiasa." Alisema Sanho
Lakini watawala wako macho
"Wakuu wa polisi mjini Colorado wana wasiwasi kuhusu usalama wa watu kwa ujumla" anasema afisaa mmoja wa polisi John Jackson
Kijana mdogo akivuta bangi wakati wa maandamano ya kutaka kuhalalishwa kwa bangi Marekani
Takriban miaka 80 baada ya Marekani kufutilia mbali sheria iliyoharamisha pombe, tunajaribu kujibu baadhi ya maswali ya watu walioelezea hisia mbali mbali kuhusu bangi kuhalalishwa.
Je wauzaji na wakulima wa Bangi wataendesha vipi matangazo ya kibiashara ya bangi?
Ni haramu kwa watu walio chini ya umri wa mia 21 kupatikana na bangi huku jimbo la Washington likiharamisha matangazo a kibiashara ya bangi katika maeneo ya watoto kuchezea .
Kwa watu ambao hawajahi kutumia bangi , harufu na aina zote za bangi ni sawa tu, wakati inapovutwa athari zake ni sawa tu, yaani hakuna tofauti kubwa.
Wakati itakapohalalishwa, je wauzaji/makampuni katika maeneo ya Washington na Colorado yataendesha vipi biashara zao ili kupata wateja wengi?
“Iwe ni soksi au bangi, kitu cha kwanza mteja atataka kufanya ni kuangalia muuzaji wa bidhaa ile.’’ Hii ni kulingana na mtaalamu mmoja wa matangazo ya kibiashara mjini New York.
Anasema kuwa soko la bangi lipo lakini kama ni kwa vijana wenye umri wa miaka ishirini na zaidi, ambao tayari wanaitumia , hakuna ugumu hapo, kwani hawatahitaji matangazo ya kuwashawishi ili kununua.
Kibarua ni kwa wahafidhina ambao labda kwa sababu ya maadili, hawavuti bangi. Lakini soko linaweza kuwepo kwa wataalamu wanaosongwa na mawazo au wapambe wa kiafya na kadhalika.
Muuzaji wa bangi anaweza kubuni mbinu ya kipekee ya kuuza bangi na kuweza kuifunga kwenye pakiti za kuvutia kwa rangi na ambazo zina mvuto wa kuwa ghali , labda ndio kitu kitakachoweza kuwavutia wanunuaji.
Mjini Asmterdam Bangi hutumiwa kama kiungo katika baadhi ya vyakula kama keki hizi
Je mwajiri anaweza kukulazimisha kufanyiwa uchunguzi wa madawa ya kulevya?
Katika jimbo la Colorado, utumiaji wa Bangi bado unaweza kukuweka mashakani, kwani, sheria hiyo mpya, inawaruhusu waajiri kuharamisha utumiaji wa bangi miongoni mwa wafanyakazi.
"Hii haishurutishi mageuzi yoyote,’’ anasema Mason Tvert, mmoja wa wanaharakati wanaotaka matumizi ya Bangi kudhibitiwa kama ilivyo pombe katika jimbo la Colorado.
Sheria ya taifa nayo haina msimamo halisi kuhusu swala hili
Lakini uchunguzi uliokuwa unafanyiwa wafanyafakazi kwenye maofisi umendelea kudidimia. Inahofiwa waajiri katika majimbo ya Colorado na Washington, sasa watatupilia mbali jukumu la kuhakikisha wafanyakazi maofisini hawaji kazini wakiwa walevi wa bangi
Uchunguzi mwingi unaofanyiwa watu kubaini ikiwa wanatumia mihadarati, ni kutokana na dhana kuwa wafanyakazi wengi wanaotumia madawa hayo, huathiri biashara.
Wafanyakazi wengi wanaopatikana wakiwa na chembechembe za mihadarati mwilini, wanajulikana kama 'wavutaji wa bangi wa Jumamosi,' yaani waliovuta bangi mwishoni mwa wiki. Na hivyo hawawezi kufanya kazi.
Sheria za marekani wakati mmoja ziliharamisha pombe. Je sheria hizi zinaashiria kuwa nchi hiyo iko tayari kuhalalisha bangi?
Mimea ya Bangi 

Majimbo mawili nayo tayari yamegusia uwezekano wa kuwasilisha mswaada wa kuhalalisha Bangi.
Baadhi ya watu hutumia Bangi kama njia ya kujiliwaza, kujiburudisha au wakiwa waraibu. Wengine wanasisitiza kuwa Bangi inafaida za kimatibabu.
Nini maoni yako kuhusu swala hili tete?

Zuma amtembelea Mandela hospitali

Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amemtembelea rais wa zamani, Nelson Mandela, hospitali mjini Pretoria.

Rais Zuma alisema Bwana Mandela akionesha katika hali nzuri baada ya kupumzika usiku kucha.
Hapo awali wakuu wa serikali walisema Bwana Mandela alilazwa hospitali Jumamosi kwa ukaguzi, na kwamba hali ya mzee huyo wa miaka 94 siyo ya kutia wasiwasi.
Bwana Mandela alilazwa hospitali mwezi wa Februari kutibiwa matatizo ya tumbo aliyokuwa nayo kwa muda mrefu.
Hakuonekana hadharani tangu Afrika Kusini ilipofungua michezo ya Kombe la Dunia mwaka wa 2010.

Saturday, December 8, 2012

Tanzania kusimamia wanajeshi wa pamoja DRC

Jumla ya nchi kumi katika eneo la Maziwa makuu zimekubaliana kuunda jeshi la pamoja litakalokuwa na jumla ya askari 4,000 katika kukabiliana na ghasia na vita vya mara kwa mara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.


 Waziri wa Ulinzi wa DR Congo, Dakta Crispus Kiyonga amethibitisha uundwaji wa jeshi hilo, akisema litafanya kazi chini ya usimamizi wa Tanzania

Mapigano ya hivi sasa mashariki mwa Congo yalizuka mwezi Aprili mwaka huu wakati waasi wa M23 walipoliasi jeshi la nchi hiyo na kusababisha watu laki tano kuyakimbia makaazi yao wakihofia usalama wao.
Wakati huohuo, viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika, SADC, wameanza mkutano wao wa dharura jijini Dar es salaam nchini Tanzania.
Wameanza kwa kufanya kikao cha Asasi ya Ulinzi, Siasa na Usalama ya SADC inayojulikana kama TROIKA chini ya Mwenyekiti wake Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe, kikao hicho cha TROIKA kimewakutanisha marais Jakaya Kikwete, Hifikepunye Phohamba wa Namibia na Jacob Zuma wa Afrika Kusini.
Amesema mara baada ya kikao hicho cha TROIKA viongozi hao watajumuika na Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye pia ni mwenyekiti wa mkutano wa kimataifa wa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, pamoja na Rais Armando Guebuza wa Msumbiji ambaye ni Mwenyekiti wa sasa SADC.
Viongozi hao kwa pamoja watajadiliana kwa kina matatizo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Madagascar na Zimbabwe ambapo watawasilisha mapendekezo yao katika mkutano mkuu wa viongozi wote 14 wa SADC utakaofanyika kesho.

M23 wawasili Kampala kwa mazungumzo

Waakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na wapiganaji wa M23 wanakusanyika mjini Kampala, Uganda, kwa mazungumzo.

 

Juma lilopita wapiganaji hao waliondoka kwenye mji wa Goma, lakini walitishia kuuteka tena iwapo madai yao hayatatimizwa.
Rais Joseph Kabila amesema atasikiliza malalamiko yao.
Watu zaidi ya nusu milioni wamekimbia makwao katika ghasia tangu wapiganaji hao walipoasi na kutoka katika jeshi la Congo mwezi wa Aprili.
Waziri wa taifa wa Uganda anayehusika na mashauri ya nchi za nje, Henry Okello Oryem, amesema kuwa mazungumzo hayo yanaweza kuendelea kwa miezi kadha kabla ya kufikia suluhu na maafikiano kutekelezwa.

RICHEST AFRICAN PRESIDENTS WITHIN POOR AFRICAN COUNTRIES

*Capital flight from resource-rich countries in Africa is on the riseRecently some African presidents have featured in media headlines not for their heroic accomplishments as leaders but for robbing their nations and siphoning their ill-gotten gains to safe havens.

Since 2010, French judges have been investigating illicit wealth accumulation by the presidents of the Republic of Congo, Gabon, and Equatorial Guinea, all of whom are accused of embezzlement of public funds, money laundering, and plundering national wealth.

In July 2012, Judge Roger Le Loire issued an arrest warrant against Teodoro Nguema Obiang, nicknamed Teodorin, the son of the president of Equatorial Guinea, on the basis of evidence of illicit wealth accumulation through embezzlement of public resources.

The stylish president’s son has amassed a portfolio that includes multi-million-dollar real estate in France, luxury cars, designer watches, and art objects. In October 2011, the United States also sought to seize $70 million in assets from Teodoro Nguema Obiang.

His personal financial transactions are handled through his forestry company, Somagui Forestal, and bank accounts in offshore centers.

Equatorial Guinea, Gabon, and the Republic of Congo are among the richest countries in Africa with per capita incomes of $8,649 (second), $4,176 (5th), and $1,253 (15th), respectively. They have massive oil reserves, ranking 7th (Gabon), 8th (Congo Brazzaville), and 10th (Equatorial Guinea) in the continent.

While their presidents and other members of the political elite are amassing fortunes abroad, the majority of their fellow citizens live in abject poverty, lacking access to basic social services such as decent sanitation, clean drinking water, elementary school, and health care.

Despite Equatorial Guinea’s large oil revenues, a baby born there has less chance of living to his or her fifth birthday than the average sub-Saharan African infant. Gabon and Equatorial Guinea rank second and third to last in their rate of immunization against measles, at 55% and 51%, respectively.

The stories of opulence and extravagant lifestyles of leaders of resource-rich African countries illustrate critical leadership failures, where national leaders rob their nations instead of helping to develop them.

These pathologies are perpetuated by complicit foreign special interests and a shadow international financial system that enables the perpetrators of financial crime to walk free thanks to banking secrecy. They are also facilitated by the willful blindness of Western financial institutions and governments that have tolerated this illicit accumulation of wealth over the years.

The oil bonanza in the decades before the global financial crisis, resource-rich African countries enjoyed an explosion in their export revenue due to hikes in commodity prices, especially oil. Oil prices have resumed their ascent after the crisis. The oil boom has led to a rapid increase in oil rents collected by the governments of these countries.

For example in 2010, Congo (Brazzaville) collected over 61 percent of GDP in oil rents. In the same year, the oil rent/GDP ratio exceeded 40 percent in Equatorial Guinea (47%), Gabon (46%), Angola (46%) and Libya (42%).

Between 2000 and 2010, oil rents more than doubled in many African oil producing countries. They tripled in Algeria, and went up fivefold in Angola and sixfold in Equatorial Guinea and Sudan.

As a result of the boom, oil-rich countries posted high economic growth rates over the past decade.

Per capita GDP grew annually by 13.5% in Equatorial Guinea and by 7.6% in Angola. The oil bonanza vaulted these countries to middle-income status.

Ghana has also recently joined the ranks of the middle-income category. With the exception of the Democratic Republic of Congo, all the major oil exporting countries listed in belong to oil producers, and expected oil discoveries around he continent may further expand the club in the coming years. At least at face value, this is good news for Africa.

Indicators of aggregate economic performance in resource-rich African countries, however, say little about the conditions of ordinary citizens. Average national incomes are much higher in these countries than in many other African countries, but citizens with average incomes are few and far between.

While some individuals are indeed extremely rich in these countries, lifting the arithmetic average, the majority of the people have received little from the resource bonanza. Their high poverty rates exceed the sub-Saharan average.

In Nigeria, more than two-thirds of the population lives below the national poverty line, meaning that they do not have enough income to meet basic daily needs.

In the Democratic Republic of Congo, a country plagued by both institutional decay and civil strife, more than seven out of ten citizens are classified as poor.

The oil boom has done little to ameliorate the living conditions of the poor.

In Nigeria, the number of poor has risen even as oil rents were increasing From 1992 to 2010, the number of poor Nigerians (based on a daily-purchasing-power adjusted income threshold of $2 per day) increased. Uganda has recently discovered oil. Substantial reserves may have also been discovered in Kenya by Tulow Oil PLC, the same company that undertook the successful oil exploration in Uganda.

From 80 million to 130 million, even as oil rents nearly quadrupled from $15 billion to $58 billion (in constant 2010 dollars). Along with high levels of poverty, resource-rich countries exhibit high levels of inequality. Poverty headcounts are much higher in rural areas than in urban areas, reflecting the preference for cities in public investments and allocation of infrastructure and services.

In Cameroon, 55 percent of the rural population is poor compared to 12 percent of urban dwellers. In Sudan, the poverty rate in the countryside is more than twice that in urban areas. Inequality in access to social services exacerbates the consequences of income inequality and further retards human development.

In Gabon and the Republic of Congo, while 95% of the urban population has access to improved water sources, according to official figures, the majority of rural people lack access to clean drinking water (59% in Gabon and 68% in Congo.

An important reason for the inadequate provision of public services is substandard performance in public revenue mobilization.

Oil-rich countries collect relatively less taxes than their resource-scarce

Counterparts (AfDB, OECD, and UNECA 2010; Ndikumana and Abderrahim 2010).

It is remarkable that a resource-rich country like Nigeria collects less revenue in relation to its size (9% of GDP in 2008) than a resource-scarce country like Burundi (16.6% of GDP in 2008).

The poor performance in tax mobilization is a result of, among other things, corruption in the oil industry, tax evasion, and capital flight.

Capital flight and elite capture of national resources Natural resource-rich African countries suffered a severe financial hemorrhage through capital flight over the past decades.

Recent estimates suggest that the leakages increased during the resource boom.

From 1970 to 2008, Nigeria lost a staggering $296 billion to capital flight. About $71 billion went 'missing' from Angola between 1985 and 2008 (Ndikumana and Boyce 2011).

Other oil-exporting countries also suffered substantial capital flight in the last four decades: Côte d’Ivoire ($45 billion), the DRC ($31 billion), Cameroon ($24 billion), the Republic of Congo ($24 billion), and Sudan ($18 billion).

A key source of capital flight is the natural resource sector. The two main mechanisms are outright embezzlement of export revenues by government officials entrusted with the management of public resource exploitation and commercialization, and the under-invoicing of oil exports.

In 2002, for example, the IMF reported that as much as $4 billion of Angolan oil sale proceeds had not been accounted for over a period of four years (BBC 2002).

This missing money finances private wealth accumulation by the political elite and their associates. A critical issue in natural resource-rich countries is the lack of transparency in the management of resource revenue, and with it the lack of separation between politicians’ personal assets and public assets.

The stories of stolen wealth by government officials repeatedly come back to the same fact: the plunder of public resources in the context of endemic corruption.

In Nigeria, some state governors have taken advantage of their autonomy in the federal system to erect financial empires.

Former governor James Ibori of Delta State became famous for embezzlement of state funds, money laundering, and bribery. His accomplishments included the diversion of $25 million from state coffers for the purchase of a jet for personal use.

Joshua Dariye, Governor of Plateau State, and Diepreye Alamieyeseigha, Governor of Bayelsa State, similarly embezzled public funds and deposited them in bank accounts abroad.

Swiss and Cameroonian authorities are still pursuing the assets of Yves Michel Fotso, the former director of Cameroon Airlines, including $31 million initially appropriated for the purchase of a government jet that subsequently disappeared. Apart from top political leaders and senior officials, their family members are often also involved in illicit financial flows, often using disguised identities, as in the case of Inge “Collins” Bongo, the first lady of Congo.

The list goes on and on, and these are only the cases that are reported in the media. The plundering goes much deeper. The plunder of national resources is not new in African autocracies.

During his three-decade reign, Mobutu of Zaire (now the DRC) built what was referred as a “kleptocracy to end all kleptocracies”

It appears that he has had many studious disciples across the continent. Mobutu was able to ride on support from Western governments that regarded him as a strategic ally in the fight against communism during the cold war. But the cold war has ended, and African kleptocrats and their accomplices are still with us.

What can be done?

The culprits in African capital flight include not only corrupt leaders but many others who gain from illicit financial flows. These include natural resource exploitation companies, trading partners who facilitate misinvoicing, banks in safe havens, and middlemen and “deal makers” who facilitate transactions. Thus addressing the problem of capital flight and the plunder of natural resources require a multipronged aimed at establishing a culture of transparency in the management of national resources and ending the impunity traditionally enjoyed by politicians and their private associates.

African countries need to pursue strategies to encourage domestic investment and reduce the incentives of private wealth holders to smuggle their assets abroad. These economic measures will reduce the outflow of honestly acquired capital, but they will not address the endemic problems of corruption, embezzlement, and elite capture of national wealth described above, nor are they likely ]to entice the voluntary repatriation of stolen funds stashed in safe havens.

It is unthinkable to expect the same politicians who robbed their countries to metamorphose into champions of good governance and accountability.

A key element of the solution to capital flight must therefore be the establishment and consolidation of democratic governance. To be sure, democracy is not a panacea: it can be hijacked by strong interest groups. But it offers a better framework for giving the African people a voice in the management of public resources.

To support the democratic process and public oversight on management of the national economy, it is important to promote open and transparent budgeting processes, especially open disclosure of the sources and utilization of public funds including resource revenues, borrowed funds, and external aid.

It is considered best practice in the business sector to undertake thorough annual audits of companies’ finances and operations.

A similar practice needs to be instituted in the management of public finance. In particular, public external debts should be subjected to independent audit to establish their legitimacy and their contribution to national development.

On the basis of these audits, external loans that fail the legitimacy test could be classified as odious and unilaterally repudiated. African countries could learn valuable lessons from the case of Ecuador, which has successfully implemented a systematic debt audit. The country saw a drastic reduction in its debt burden due to unilateral repudiation of debts that were found to be odious.

Promoting transparency and accountability would benefit not only African countries but also their donors and lenders, as external resources would be more likely to be used for genuine development purposes, increasing aid effectiveness and reducing the risk of default on debt. n important element of the strategy against capital flight is a vibrant civil society, especially an independent media.

A common feature of most cases of kleptocracy described above is the lack of a free press, which helps shield financial crimes from public scrutiny.

Reforms are also needed at the international level with respect to three key players: banks, multinational corporations (MNCs) engaged in natural resource exploitation and trade, and the host governments of these banks and MNCs. Banks in global financial centers must be obliged to assist in the detection and tracking of illicit financial flows.

They must be required to disclose all suspicious bank transactions, especially those involving “politically exposed persons.” This cooperation by banks is critical for the sharing of information among governments, an essential tool in the fight against corruption and capital flight.

Multinational corporations must be held accountable by anticorruption laws, such as recent legislation in the United States and the United Kingdom that In 1996, the United States established the Suspicious Activity Report (SAR), a discretionary report filed to the

Financial Crime Enforcement Network (FinCEN) every time a bank encounters an activity that it considers to be “suspicious.” The enforcement of the provision is hampered by the lack of a clear definition of what is ‘suspicious’ and the fact that it is discretionary. encompasses crimes committed abroad.

Other foreign governments should follow suit to establish a clean and level playing field in the corporate sector. They should also assist African governments in enforcing these laws on the African soil.

In the long run, a stable global financial system founded on transparency and accountability will benefit not only Africa but also the world as a whole.