Hii ni comedy iliyoandaliwa kwa umahiri wa hali ya juu,ambayo itakuja kuwashika watazamaji wote wa TBC 1, ikiwa imeandaliwa na MAC MEDIA ni komedi inayohusu maisha ya Mtanzania ambayo yanafuatiliwa pasipo MTANZANIA kujua kuwa yanafuatiliwa.
Kama ilivyozoeleka neno Paparaz linamaanisha mpiga picha mahiri anayepiga picha kwa watu au mahali fulani kwa kujificha,picha hizo huwa ni bora kwani zinaoonesha maisha halisi ya mtu akiwa amejiachia.
Comedy show hii itakuonesha maisha ya Watanzania wakiwa wamejiachia,utaburudika na kuvunja mbavu kutokana na mambo yaliyomo katika serious comedy hii.
ITAANZA LINI ?
Comedy hii itaanza mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza
WAPI ?
TBC 1
!!!!!!!!!!!!!!!!!! ITAKAPOANZA KURUSHWA DONT MISS TAFADHALI !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!