Umoja wa Mataifa unasema kuwa jeshi la Sudan Kusini limewapiga risasi na
kuwauwa watu 10, ambao walikuwa wakiandamana kupinga kuhamishwa kwa
makao makuu ya serikali za mitaa magharibi mwa nchi.

Na wengine sita waliuwawa baada ya kukusanyika kulalamika juu ya mauaji ya awali.
Jeshi la Sudan Kusini limekataa kusema kitu.
No comments:
Post a Comment