![]() |
Wakazi
wa Jimbo la Twaraj Indonesia, wamejiweka utamaduni wa kuwafufua
maiti(wafu) na kuwapamba kwa kuwavisha mavazi mapya, kuwachana nywele na
kuwatembeza mitaani kabla ya kuwazika tena
|
|
Dunia
imejaa vituko na matukio ya ajabu, hilo limedhihirika hivi karibuni
huko nchini Indonesia, katika jimbo la Twaraj, wakazi wa eneo hilo
wanatamaduni ya ajabu na ngeni duniani, wakazi hao wanawafufuwa maiti
kaburini na kuwavalisha nguo mapya za thamani, kuwachana nywele na
kuwapamba kamalive walivyokua hai. Wakazi hao wanakusanyika na kumfanyia sherehe kubwa maiti kabla ya kuanza msafara wa kumtebeza katika mitaa na kumrejesha kaburini alipokuwa amezikwa, wakazi hao wanamini kwamba watu waliyokufa wanahaki ya kuendelea kuishi na kujumuika nao. katika kufanikisha zoezi hilo la kihistoria ambalo wanaimani kwa lazima kufanya ili kuonesha hishima kwa maiti na kulinda mapenzi ya kweli kwa mtu aliyekufa, kabla ya kumzika maiti anavishwa kitambaa maalum ili kuzuia mwili wa marehemu kuoza. |
MADOLE
PATA HABARI NA BURUDIKA
Friday, December 14, 2012
Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
Labels:
BURUDANI,
HABARI ZA KIMATAIFA,
MUSIC,
VIDEOS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment