![]() |
Eneo la magu basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha. |
No comments:
Post a Comment