Kocha Mkuu wa timu ya Zanzibar Heroes Salum Nasoro Bausi ambaye ameshatangaza kujiuzu akiwa amebebwa baada ya kuifunga Kilimanjaro Stars kwa mikwaju ya penati 6-5 wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu ya michuno ya Cecafa Challenge 2012 uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia baada ya kuifunga Kilimanjaro Stars kwa Penati
No comments:
Post a Comment